Tuesday, April 23, 2013

MATUKIO YA PICHA BUNGE

wabunge wakibadilishana mawazo kulia ni waziri wa ulinzi na jeshi la kujenga Taif Shamsi Vuia Nahodha wa pili kulia ni mbunge wa viti maalum Vick kamata ,mbunge wa jimbo la Tabora mjini na mwenyekiti wa klabu ya Simba sport s  Aden Ragw na mbunge wa nkasi Ali Kessy  wakiwa nje wa jengo la Bunge mjini dodoma leo


Baadhi ya wabunge wakitoka katika ukumbi wa bunge kwa mapunziko leo mjini dodoma 


wabunge wakitoka nje ya ukumbi wa bunge leo kwa mapuziko 

kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe wakibadilishana mawazo na mbunge wa Lindi mjini Salum Khalfani Barwany nje ya ukumbi wa bunge leo mjinindodoma
Wabunge wakitoka katika ukumbi wa bunge mjini dodoma leo kushoton Profesa Msolwa  waziri wa viwanda na Biashara Abdallah Kigoda na mbunge wa viti maalu  lucy Mayenga leo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu