Monday, April 15, 2013

picha za bunge

Mbunge wa jimbo la Ole Rajabu Mbarouk  akichangia  Ofisin ya Wziri  mkuu  akichangia kuhusu serikali ya muungano iwewpo wanaunga mkono


 Spika wa Bunge la jamhuri ya Tanzania Anna Makinda  akiwa na Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred wakati walipofika  bungeni akiwa na chama cha Mabilino Tanzania kwa ajili ya kutoa semina kuhusu watu wenye ulemav wa ngozi kwa wabunge
   Baadhi ya watu mbalimbali waliofika katika jengo la bunge na kuangalia shughuli za bunge zinavyoendelea picha wakiwa katika foleni wakisubiri kuingia kwenye ukmbi wa bunge leo

 

Wabunge  Christowaja Mtinda kulia na Mbunge wa Nkasi Aly Kessy wakibadilishana mawazo nmje ya ulimbi wa bunge mjoinoiDodoma leo

Baadhi  wageni walioofika kuangalia shughuli za bunge



Mbunge wa jimbo la Tabora mjini Ismail Aden Rage  aichangia bajeti ya ofisi ya waziri mkuu leo
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu