Sunday, June 2, 2013

KAMPUNI YA SHINYANGA EMPORIUM YAZINDUA TOLEO JIPYA LA MAGARI YA MIGUU MITATU PIAGGIO

  Brand Manager Simon Ochieng wa kapuni ya  Shinyanga Emporium 1978 ltd vibajaji  akiwafahamisha waandishi pamoja na watu mbalimba waliofika katika uzinduzi wa aina mpya ya kisasa ya vibajaji  vya PIAGGIO vyenye ubora zaid ambavyo inamudu katika mazingira magumu hapa Tanzania

 Meneja wa Tawi Shinyanga Emporium 1978 ltd Nishit Modessa  wanaosambaza pikipiki za miguu mitatu maarufu kama bajajiaina mpya kabisa ya  Piaggio akitoa maelezo kuhusu Tecknilijia ya 3V tech yaani Valva 3 mbili za kuingia na moja ya kutoa oili kati ya giabox na engine ni moja tu kuondoa usumbufu wakati wa kujaza oili  hii ilikuwa wakati wa uzinduzi uliofanyika jijini Dra es salaam 

Meneja wa tawi Nishiti akiwaelekeza madereva wa vibajaji vya piggio waliofika katika uzinduzi huo

 Meneja wa tawi Nishiti akiwaelekeza madereva wa vibajaji vya piggio waliofika katika uzinduzi huo

Brand Manager Simon Ochieng wa kapuni ya  Shinyanga Emporium 1978 ltd vibajaji  akiwafahamisha waandishi pamoja na watu mbalimba waliofika katika uzinduzi wa aina mpya ya kisasa ya vibajaji  vya PIAGGIO vyenye ubora zaid ambavyo inamudu katika mazingira magumu hapa Tanzania 

Meneja wa Biashara wa kampuni ya Shinyanga Emporium ambao ndio mawakala wakuu wa uuzaji wa PIAGGIO hapa nchini Ritesh Monani akielezea kwa ufumi kuhusu piaggio wakati wa uzinduzi wa aina mpya 

Meneja wa Tawi la shinyanga Emporium liliopo eneo la mlimani city barabara ya Samnujoma Nishiti Modessa kushoto akimkabidhi makabrasha pamoja funguo ya PIOGGIO mpya mteja Sophiani Idd maarufu kama Bluu Mgosi  mara baada ya kununua  wakati huo huo

Meneja wa tawi Nishiti Modessa akimuonyesha mmoja wa madereva mabo yaliyokuwa ndani ya pioggio mpya 

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu