Tuesday, August 27, 2013

KIKAO CHA BUNGE LEO MJINI DODOMA


Baadhiya wabunge wakifuatilia kikao chja bunge kinachofanyika mjini dodoma kilicoanza leo

Mbunge wa jimbo la Peramiho Jenista Mhagama akichangi hoja wakati wa kipindi cha maswali na majibu wakati wakikao cha bunge la 12kilichoanza leo mjkini Dodoma leo

mbunge wa jimbo la Donge zanzibar Sadifa Juma Khamis akimsikiliza kwamakini Waziri waAfrika Mashariki Samuel Sitta wakiwa nje ya viwanja vya bungekuhudhuria kikao cha 12 cha bunge la Jamhuri leo

Spika wa bunge la jamhuri  akingia kwenye ukumbi wa bunge tayari kwakuanza kikao cha bunge la 12 kilichoanza leo mjin dodoma

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu