Baadhi ya akina mama waliosoma katika shule hiyo akiwa mama Asha Migiro wa kutoka kulia katika picha na wa sita kulia ni Oliver Baltazery |
sisita akishangaa hat wewe imefika nashukuru sanauendelee kuwa na moyo huohuo |
Basi ambalo nalo likiwa katika viwanja vya shule hiyo likisubiri waalikwa |
picha halisi inaonyesha baadhi ya watu waliofika wakiwa nje ya mandhalui ya shule |
picha inaonyesha nembo ya shule hiyo ambayo siku hiyo ilikuwa kiburudisho tosha kwenye vbazi la khanga lililokuwa vazi maalum kwa kila mtu alifika |
watu waliserebuka katika muziki |
Basi lililowachukua baadhi ya mbalimbali pamoja na wazazi waliokwenda katika sherehe hiyo |
hivi ndivyo vibwagizo vya sherehe ya kutimiza miaka 50 ya sekondari ya Weruweru |
Baadhi ya wanafunzi waliosoma katika shule ya sekondari ya WERUWERU Oliver Baltarzary wakiwa katika picha ya pozi wakati wa sherehe ya kutimiza miaka 50th Anniviversar picha zote na Oliver Baltazer |
0 comments:
Post a Comment