Aliekuwa mjumbe wa tume ya katiba Dkt Sengondo Mvungi amefariki dunia - Taarifa zilizotufikia kutoka Milpark Hospitali Mvungi Amefariki Mnamo Majira ya Saa Tisa na Nusu. mchana dr mvungi amefariki baada ya kupigwa mapanga na watu wanaodaiwa kuwa ni majambazi huko nyumbani kwake kibamba msakuzi katika wilaya ya kinondoni marehemu mvungi alitibiwa katika hospitali ya Moi muhimbili na baadaye kuhamishiwa Afrika kusini kwa matibabu zaidi mpaka kufikia leo mchana ametutoka Mungu ailaze Roho yake peponi ...tutawajulisha zaidi angalia mzuka
Home »Unlabelled » BREKING NEWZZZ DR MVUNGI AFARIKI DUNIA
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment