Friday, February 28, 2014

AJALI YA BASI NA TRENI LEO SINGIDA

BASI LA KAMPUNI YA BUNDA NAMBA T 782 BKZ YA MKOANI MARA LIMEPATA AJALI YA KUGONGANA NA KICHWA CHA TRENI LEO AJALI ILIYOTOKEA ENEO LA SARANDA WAKATI BASI HILO LILILOKUWA LINATOKA DODOMA MJINI KWENDA MUSOMA, KAMA PICHA INAVYONEKANA AJALI HIYO IMESABABISHA KIFO CHA MTU MMOJA NA WENGINE KUJERUHIWA NA WENGINE WAKO MAHATUTI KULIA NI KICHWA CHA TRENI LINAVYOONEKANA BAADA YA KUGONGA KICHWA CHA TRENI NAMBA 8821 KILICHOKUWA KINARUDI MANYONI MJINI BAADA YA KUSAIDIA KUIVUSHA TRENI YA MIZIGO (GOODS) KWENYE MLIMA SARANDA. KATIKA AJALI HIYO MTU MMOJA MWANAMKE ALIFARIKI DUNIA NA WENGINE 39 KUJERUHIWA VIBAYA NA KULAZWA HOSPTALI YA WILAYA MANYONI HUKU SITA KATI YAO NI MAHUTUTI NA WAMEHAMISHIWA HOSPITALI YA MISHENI ITIGI NA WAWILI WAMEPEKWA HOSPITALI YA MKOA WA DODOMA

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu