Home
»Unlabelled
» FAMILY DAY YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) IKANDA YA MASHARIKI LIVYONOGO
FAMILY DAY YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) IKANDA YA MASHARIKI LIVYONOGO
|
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa. Akisakata dansi na wafanyakazi na Katibu Mhitasi Halima Magonga (kulia)wakati wa siku ya FamilyDay iliyofanyika jana katika Hoteli ya Livingstone Wilayani Bagamoyo |
|
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akimkabidhi Kuku David Mapunda, baada ya kuibuka mshindi wa kwanza wa kukimbia na gunia wakati wa siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo. |
|
Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston Bagamoyo. |
|
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akimkabidhi mmoja wa wafanyakazi wa TCRA Juhudi Ngozi Kuku baada ya kuwashinda wenzake wakati wa Family Day iliyofanyika katika hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo .Anayeshudia ni Mhasibu wa Mamlaka hiyo Patrice Lumumba. |
|
Wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hoteli ya Livingston Bagamoyo ,siku hiyo iliwashirikisha wafanyakazi na familia zao.
|
|
Watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA)Kanda ya Mashariki wakishindana kufukuza kuku wakati wa Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa Hotel ya Livingston Wilayani Bagamoyo siku hiyo ni maalumu kwa wafanyakazi na familia zao.
|
|
.Mhasibu wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki Patrice Lumumba akiongea jambo kwa wafanyakazi wenzake pamoja na familia zao katika Family Day iliyofanyika katika Hotel ya Livingstoni Wilayani Bagamoyo
|
|
.Baadhi ya watoto wa wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) wakishindana kukimbia na gunia wakati wa siku ya family Day ya wafanyakazi wa Mamlaka hiyo iliyofanyika katika hotel ya Livingston Bagamoyo.
|
|
.Baahi ya wafanyakazi wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki wakiwa katika picha ya pamoja na familia zoa wakati wa siku ya familyDay iliyofanyika katika Hoteli ya Livingston Bagamoyo.
|
|
Meneja wa Mamlaka ya Mawasiliano Tanzania (TCRA) Kanda ya Mashariki inayoundwa na mikoa mitano ya Dar es Salaam, Morogoro,Pwani, Lindi na Mtwara , Eng.Oscar Mwanjesa akiongea jambo kwa wafanyakazi wa TCRA walioambatana na familia zao katika siku ya Family Day iliyofanyika katika ufukwe wa hoteli ya Livingston Wilayani Bagamoyo mkoani Pwani.
|
0 comments:
Post a Comment