Thursday, April 10, 2014

MATUKIO YA JIJI LA DAR ES SALAAM LEO

wanafunzi wa shule mbalimbali za sekondari wakipanda treni ya Abiria ya inayojulikana kama treni ya mwakyembe inayofanya safari zake  Dar es salaam mpaka pugu mwakanga picha inawaonyesha wanafunzi eeneo moshi bar ukonga leo

HIVI NDIVYO USAFIRI WA TRENI YA MWAKYEMBE BAADHI YA ABIRIA WAKINGIA KWENYE TRENI ENEO LA MAJOHE PUGU KUJA DAR ES SALAAM KAMA WALIVYOKUTWA NA MZUKA LEO


BAADHI YA NYUMBA ZIKIWA ZIMEZINGIRWA NA MAFURIKO KATIKA ENEO LA MAJOHE PUNGU

HAWA ABIRIA WA ENEO LA MAJOHE PUGU WAKIWANIA KUINGIA KATIKA TRENI YA MWAKYEMBELEO KAMA DALADALA

HAWA ABIRIA WA ENEO LA MAJOHE PUGU WAKIWANIA KUINGIA KATIKA TRENI YA MWAKYEMBELEO KAMA DALADALA 

KAMANDA WA POLISI KIKOSI CHA USALAMA BARABARANI MOHAMED MPINGA AKIONYESHA KIFAA CHA MWENDESHA MWENDO KIFAA KIPYA CHA KISASA AMBACHO KITAJUA MWENDO KASI WA GARI ANAYE ENDESHA HEREVA KIFAA HICHO KINACHUKUA PICHA ZA VIDEO PAMOJA PICHA ZA MGANDO  KINAJULIKANA KAMA SPEED RADER

LICHA YA HALMASHAURI YA JIJI LA DAR ES SALAAM KUFANYA OPERESHENI BOMOABOMOA YA JIJI KUSAFISHA LIWE KATIKA HALI YA KUPENDEZA LAKINI BADO TAKATAKA NYINGI ZIKO KWENYE MNARA WA SAA KATIKA MAKUTANO YA BARABARA YA SAMORA NA  UHURU  ,NKURUMAH,NA RELWE JIJINI DAR ES SALAAM KAMA ZILIVYOKUTA NA MZUKA LEO

DARAJA LILILOJENGWA NA HALMASHAURI YA ILALA ZAIDI YAN MIAKA 4 AMBALO NI LA VYUMA SASA NI HATARI MKWA WAPITA KWA MIGUU KAMA PICHA LINAVYONYESHA HUKU WANAFUNZI WANAOSOMA SHULE YA MSINGI YA YOMBO,BWAWANI DARAJA HILO NI  KIUNGO KATI YA KIWALANI MINAZI MIREFU NA USTAWI WA JAMII KAAMA ILIVYOKUTWA NA MZUKA LEO

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu