Banda la offisi za bunge wakionyesha maswala mbalimbali yanayohusu ofisi hizo wakati wa maonyesho ya muungano kutimiza miaka 50 |
RAIS MSTAAFU WA AWAMU YA PILI ALI HASSANI MWNYI AKITEMBELEA MABANDA MBALIMBALI WAKATI WA MAONYESHO YA MUUNGANO KUTIMIZA MIAKA 50 MABANDA HAYO NI YALE YA IDARA ZA MUUNGANO |
picha ya sanamu ya askari wa zamani kabla ya uhuru WAKATI HUO NI JESHI POLISI LA AFRIKA YA MASHARIKI |
BAADHI YA WAKAZI WA JIJI LA DAR ES SALAAM WAKIANGALIA SANAMU YA PICHA YA POLISI WA KIKE WAKATI WA MAONYESHO YA MUUNGANO BANDA LA WIZARA YA MAMBO YA NDANI |
HILI NDIO JIJI LA DAR ES SALAAM NI MOJA YA MAKUTANO YA BARABARA YA MSIMBAZI NA UHURU KATIKA MIAKA 50 YA MUUNGANO HATA JIJI NALO LAZIMA LIPENDEZE |
PICHA HIZI NI BAADHI YA mawaziri waliowahi kuwa mawaziri wa mambo ya ndani toka ulipopatikana uhuru mwaka 1961 mpaka leo 2014 wameshapita mawaziri wapatao 23 ni moja ya wizara ya muungano |
0 comments:
Post a Comment