Home
»Unlabelled
» WAFANYABIASHARA WAGOMA JIJINI MWANZA LEO
WAFANYABIASHARA WAGOMA JIJINI MWANZA LEO
|
picha ni mmoja ya mitaa mikubwa haina jhuduma za maduka |
|
baadhi ya barabara kadhaa za jiji la mwanza yakionekana maduka kufungwaWafanyabiashara wa jiji hilo kwa madai ya kuonewa na kupinga unyanyasaji na kodi za mara kwa mara kwa wafanyabiashara ambao kuitisha mgomo wao ambao maafisa wa kodi wanafanya mabo ambayo yamekithiri katika jijini humo jiji hilo la mwanza leo limezizima kwa wananchi kukosa mahitaji muhimu jiji hilo mara kwa mara hutokea migomo ya mara nyingi hususani kwa maafisa wa kodi na unyanyasi wa halmashauri |
|
baadhi ya mitaa ikiwa maduka yamefungwa leo |
0 comments:
Post a Comment