Home
»Unlabelled
» RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI KUTOKA KATIKA ZIARA NCHINI MAREKANI
RAIS JAKAYA KIKWETE AWASILI KUTOKA KATIKA ZIARA NCHINI MAREKANI
|
jk1:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa
na Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014
akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.
|
|
jk3: Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akiongea na IGP Ernest Mangu, Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi
Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba na Mkuu wa Mkoa wa Dar es
salaam Mhe Saidi Meck Sadik baada ya kuwasili katika Uwanja wa Ndege wa
Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014 akitokea
Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.
|
|
jk2: Rais Jakaya Mrisho
Kikwete akiongea na Mnadhimu Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la Wananchi
Tanzania (JWTZ), Luteni Jenerali Samuel Ndomba mara baada ya kuwasili
katika Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo
Septemba 30, 2014 akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa
Mataifa.
|
|
jkk1:Rais Jakaya Mrisho Kikwete
akilakiwa na wakuu wa vyombo vya ulinzi na usalama baada ya kuwasili katika Uwanja wa
Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam leo Septemba 30, 2014
akitokea Marekani alikohudhuria Mkutano wa 69 wa Umoja wa Mataifa.
PICHA NA IKULU
|
0 comments:
Post a Comment