Thursday, October 16, 2014

MATUKIO YA LEO MBALIMBALI

Polisi wa usalama barabarani akiwa katika doria kulinda ngombe waliopata ajali baada ya gari lililobeba mifugo kupata ajali na kupinduka katika eneo la  makutano ya barabara ya Morogoro na Mandela  ubungo katika ajali hiyo dereva na wafanyabiashara wenye mifugo hiyo walinusurika inayodaiwa kusababishwa mpanda pikipiki aliekatisha mbele haraka kwa mashuhuda waliona ajali hiyo leo  asubuhi jijini Dar es Salaam.


mifugo ikiswagwa baada ya kupata ajali eneo la ubungo mataa leo asbuhi

mifugo ikiruka ukuta wa barabara kwenda kukaa pahala kwenye usalama


PICHA LIKIONEKANA GARI PAMOJA NGOMBE  BAADA YA GARI LAO KUPINDUKA

KATIBU MKUU WA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA DR WILBROD SLAA AKIONGEA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU MAAZIMI YA KAMATI KUU YA CHAMA CHA DEMOKRASIA NA MAENDELEO CHADEMA KUHUSU MCHAKATO WA KATIBA NA KURA ZA MAONI KATIKA KATIBA INAYOPENDEKEZWAMKUTANO HUO ULIOFANYIKA KATIKA MAKAO MAKUU YA CHADEMA KINONDONI JIJINI DAR ES SALAAM LEO

Meneja wa maendeleo kutoka katika shirika la maendeleo la uswis Roy Van der Drift akiongea na wandishi wa habari wakati wa uzinduzi wa makubaliano ya pamoja ya miaka 5 na Taasisi ya kifedha ya FINCA Tanzania kuhusu kuwasaidia mikopo kwa wakulima wadogowago kushoto ni Mtendaji mkuu wa Banki ya Finca Edward Greewood

Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu