SHEREHE ZA MAADHIMISHO YA KILELE CHA MIAKA 51 YA MAPINDUZI YA ZANZIBAR MJINI UNGUJA LEO
Rais
wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein akiwapungia Mkono wananchi wakati alipowasili katika
uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja katika kilele cha Sherehe za miaka
51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar yaliyofanyika leo.
Rais
wa zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali
Mohamed Shein akikagua gwaride la vikosi vya ulinzi na usalama leo
wakati wa Sherehe za miaka 51 ya Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar
akifuatana na Paredi Kamanda Luteni kanali Mohamed Khamis Adam katika uwanja wa Amaan Studium Mjini Unguja.
Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein akitoa
hutuba yake wakati wa Kilele cha Maadhimisho ya sherehe za miaka 51 ya
Mapinduzi ya Zanzibar zilizofanyika leo katikauwanja wa Amaan Studium
Mjini Unguja.
Wananchi
mbali mbali waliohudhuria katika sherehe za kilele cha miaka 51 ya
Mapinduzi Matukufu ya Zanzibar wakimasikiliza Rais wa Zanzibar na
Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein
alipokuwa akitoa hutuba yake leo katika kilele hicho Uwanja wa Amaan
Studium Mjini Unguja.
Wafanyakazi
wa Ofisi ya rais Tawala za Mikoa na Idara maalum za SMZ wakipita mbele
ya jukwaa kwa maandamano wakati wa sherehe za Kuadhimisha miaka 51 ya
mapinduzi ya Zanzinar akiwa mgeni rasmi Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Zanzibar Dk.Ali Mohamed Shein.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na baadhi ya viongozi wakati akiwasili uwanjani hapo.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais mstaafu wa awamu ya tatu, Benjamini Mkapa
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Makamu wa kwanza wa Rais wa Zanzibar, Maalim Seif.
Rais Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais Mstaafu wa awamu ya pili, Ali Hassan Mwinyi.
Rais Jakaya Kikwete, akiteta jambo na Mkuu wa majeshi....
Rais
Jakaya Kikwete, akisalimiana na Rais wa Zanzibar Dkt. Shein wakati
akiwasili uwanjani hapo na baada ya kukagua gwaride la heshima.
Rais Jakaya Kikwete akifurahia jambo na Rais wa Zanzibar, Dkt. Shein.picha kwa hisani ya sufianmaphoto
0 comments:
Post a Comment