Friday, March 23, 2018

WAJUMBE KAMATI YA BUNGE YA MAMBO YA NJE, ULINZI NA USALAMA WAKAGUA MRADI KUHUSU TATHMINI NA ULIPAJI WA FIDIA YA ARDHI.


Mkuu wa kitengo cha usimamizi na Maendeleo ya Miliki kutoka Wizara ya ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa, Ndg. Sebastian Bebwa akiwapa maelezo mafupi Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama kabla ya kwenda kukagua Mradi kuhusu Tathmini na ulipaji wa fidia ya Ardhi, kilwa Navy Military Base katika tukio lililofanyika wilayani kilwa Mkoani Lindi.
(PICHA NA OFISI YA BUNGE)



 Mussa Zungu akizungumza na Wajumbe wa kamati hiyo, watendaji wakuu toka wizarani, ngome, kamandi ya wanamaji na halmashauri ya wilaya ya kilwa wakati kupokea na kujadili taarifa ya Wizara ya ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa iliyofanyika Wilayani kilwa Mkoani Lindi. Kulia ni Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi, kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa kamati hiyo Mhe. Salum Rehani na wa pili kushoto ni Mkuu wa kamandi ya Wanamaji, Meja Jenerali Richard Mtayoba
Waziri wa Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Mhe. Dkt. Hussein Mwinyi akizungumza na Wajumbe wa kamati ya kudumu ya Bunge ya Mambo ya nje, ulinzi na usalama wakati wa kupokea na kujadili taarifa ya Wizara ya ulinzi na Jeshi la kujenga Taifa iliyofanyika Wilayani kilwa Mkoani Lindi. kushoto ni Mwenyekiti wa kamati hiyo, Mhe. Mussa Zungu, Makamu Mwenyekiti Mhe. Salum Rehani (wa pili kushoto) na kulia ni Katibu Mkuu wa Wizara ya Ulinzi na Jeshi la Kujenga Taifa, Dkt. Florence Turuka
Share this article :

0 comments:

Post a Comment

 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu