Home » Archives for February 2014
Friday, February 28, 2014
UZINDUZI WA KAMPENI CCM KALENGA
Abdul Adam, Mtoto wa Spika wa Bunge wa zamani Chifu Adamu Sapi Mkwawa, akimpongeza mgombea wa CCM katika Uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa Vijijini, Godfrey Mgimwa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, Februari 27, 2014.
Wananchi wakinyoosha mikono kuunga mkono kuwa mgombea wa CCM anafaa, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda,
Naibu Katibu Mkuu wa CCM (Bara), Mwigulu Nchemba akionyesha makada wa CCM, Alphonce John (kushoto) na Musa Tesha, walionusurika kuuawa na watu wanaodaiwa kutumwa na Chadema kwa mmoja kumwagiwa tindikali na mwingine kutobolewa jicho kwenye kampeni zinazohusu udiwani na Ubunge, katika maeneo ya Igunga na Kahama, alipokuwa akieleza fuji za Chadema, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, .
Alfonce aliyetobolewa jicho Kahama akizungumza jukwaani.
Mwigulu akihutubia, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, .
Mwigulu (4th) na mgombea wakitroti na Green Guard, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, .
Katibu wa CCM, wilaya ya Mufindi, Miraji Mtaturu, alionyesha mbao zenye misumari inayodaiwa kutegwa njiani na Chadema, kwa nia ya kudhuru msafara wa mgombea wa CCM ktk jimbo la Kalenga.
Katibu wa CCM mkoa wa Iringa, akishauriana jambo na Mwenyekiti wake Joyce Msavatavangu
Mjumbe Kamati Kuu ya CCM, Pindi Chana, akitema cheche jukwaani, wakati wa mkutano wa uzinduzi rasmi wa kampeni za CCM uliofanyika Viwanja vya Ifunda, .
Godfrey Mgimwa-Mgombea wa CCM uchaguzi mdogo jimbo la Kalenga, Iringa.Imetayarishwa na theNkoromo Blog
MAGUFULI AFANYA ZIARA YA KUKAGUA BARABARA YA MWENDO KASI LEO
BAADHI YA MAFUNDI WAKIWA KAZINI KATIKA KITUO CHA MASI YA MWENDO KASI ENEO LA KIMARA LEO |
BAADHI YA WAKAZI WA ENEO LA KIMARA MWISHO WAKIWA KATIKA MABISHANO YA RAMANI ILIYOBANDIKWA UKUTANI KUHUSU BARABARA YA MWENDO KASI |
WAZIRI WA UJENZI JOHN MAGUFULI AKIPOKEA MAELEZO KUHUSU UJENZI UNAVYOENDELA |
HILI BASI SIO LA MWENDO KASI KAMA LINAVYODAIWA NA WATU WENGI LINAPOPITA KATIKA BARABARA HIYO HILI NI BASI LINALOCHUKA WAFANYAKAZI WA UJENZI HUOLIKIWA ENEO LA KIMARA MWISHO LEO |
MTOTO Adolotea Njavike(1.4) anaomba msaada wa matibabu
MTOTO Adolotea Njavike(1.4) ambae Kichwa na Kiwiliwili vimeungana baada ya kupata na ajali ya Moto akiwa na mama yake Mzazi. |
Joseph Mwaisango wa Mbeya yetu akiwa amempakata mtoto huyo |
Tuesday, February 25, 2014
Waombolezaji wakisukuma jeneza lenye mwili wa aliyekuwa Mkuu wa Chuo
Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM), marehemu Balozi Fulgence Kazaura
ulipowasili leo kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA), Dar es Salaam jioni hii , kutoka India. (PICHA NA KHAMISI MUSSA)Mmiliki wa www.ujijirahaa.blogspot.com
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Sadick akiwafariji ndugu wa marehemu
Ndugu jamaa na wafanyakazi na aliye
kushoto ni Dereva wa gari la kubeba mwili huo wakifunua jeneza kwa
utambuzi wa mwili wa marehemu Kazaura mara ulipo wasili kwenye Uwanja
wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere
(JNIA), Dar es Salaam jioni hii , kutoka India.
Wakiutoa nje tayari kwa kuondoka uwanjani hapo kupelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Kairuki, Mikocheni
Mwili ukipakiwa kwenye gari tayari
kupelekwa kuhifadhiwa kwenye Hospitali ya Kairuki, Mikocheni,kulia ni
dereva wa gari litakalo beba mwili
CHADEMA YAPATA PIGO.
Monday, February 24, 2014
WATU 5 WAFA PAPOHAPO NA 4 WAJERUHIWA
WATU 5 WAMEFARIKI DUNIA PAPO HAPO NA WENGINE 4 WAMEJERUHIWA VIBAYA BAADA YA MAGARI MAWAWILIWALIYOKUWA WANASAFIRIA KUGONGANA MAENEO YA BOMANGOMBE KATIKA WILAYA YA HAI MKOANI KILIMANJARO IME HUSISHA MAGARI AINA YA LANDROVA NA KIA
ZUNGU LA UNGA LAKAMATWA NA MADAWA YA KULEVYA LEO
Raia wa Henellic, Alexamdrios Atanasios, amekamatwa maafisa wa usalama wa Uwanja wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam Jumapili usiku Februari 24, 2014, akiwa na kilo tano za madawa ya kulevya.
Kwa mujibu wa duru za kiusalama uwanjani hapo, raia huyo alikamatwa wakati wa upekuzi, akijiandaa kupanda ndege ya Swiss air akielekea mjini Zurich.
Kwa mujibu w aduru hizo za usalama, madawa hayo yalikutwa yakiwa yamefichwa kwenye “sakafu” ya begi lake baada ya mitambo ya kisasasa ya upekuzi, kugundua kuwa kulikuwa na ‘mzigo’.
Habari zinasema, kwa sasa mtuhumiwa anashikiliwa kwenye kituo cha polisi cha uwanja wa ndege akisubiri taratibu za kisheria ili afungukliwe mashtaka.
FAMILY DAY YA WAFANYAKAZI WA MAMLAKA YA MAWASILIANO TANZANIA (TCRA) IKANDA YA MASHARIKI LIVYONOGO
.Viongozi wa Ikulu Saccos wakiwa kwenye mkutano na Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Ombeni Sefue ofisini kwake ikulu jijini Dar es Salaam leo. (picha na Freddy Maro.) |
AGALA
BONDIA Mussa Shuza kushoto akioneshana umwamba na Dackson Kawiani wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa Amenya Pub mbagala rangi tatu Kawiani alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com |
Mabondia Ibrahimu Ahmed kushoto na Mohamed Kashinde wakioneshana ubabe wakati wa mpambano wao uliofanyika mbagala Dar es salaam Kashinde alishinda kwa point |
Bondia Hassani Kidebe kushoto akioneshana ufundi wa kutupa makonde na Shabani Mtengela wakati wa mpambano wao Mtengela alishinda kwa point mpambano huo |
Subscribe to:
Posts (Atom)