Saturday, May 31, 2014

0 comments

*BREAKING NEEEEWSS  GEOGRE TYSON AFARIKI DUNIA KWA AJALI YA GARI MOROGORO

TAARIFA ZILIZOTUFIKIA KUTOKA MKOANI MOROGORO ,ZINAELEZA KUWA ALIEKUWA MUONGOZAJI WA FILAMU NA VIPINDI MBALI MBALI VYA TELEVISHENI HAPA NCHINI,GEORGE TYSON (PICHANI) AMEFARIKI DUNIA.

GEORGE TYSON AMEFIKWA NA MAUTI HAYO USIKU WA JANA BAADA YA KUPATA AJALI MBAYA SANA KUTOKANA NA GARI WALIOLOKUWA WAKISAFIRIA KUTOKA MKOANI DODOMA KUJA DAR ES SALAAM,WAKITOKEA KWENYE HAFLA YA KUADHIMISHA MIAKA MIWILI YA KIPINDI CHA TELEVISHENI CHA THE MBONI SHOW,KUPINDUKA MARA KADHAA KUTOKANA NA KUPASUKA KWA MIPIRA MIWILI (MATAIRI) YA GARI HIYO AINA YA TOYOTA NOAH.

AJALI HIYO IMETOKEA MAJIRA YA SAA MOJA JANA JIONI, ENEO LA GAIRO MKOANI MOROGORO.

NDANI YA GARI HILO PIA KULIKUWA NA WATU NANE,KATI YAO NI
AlIWATAJA WENGINE WALIOJERUHIWA KATIKA AJALI HIYO WALIOJERU  NI  GlADNESS CHIDUO AMBAYE NI MUONGOZIJI WA SHUGHULI (MC) NA MWIGIZAJI, GRACE MEENA(MC) NA JOSHUA  AMBAO WALIKIMBIZWA HOSPITALI YA TAIFA YA MUHIMBILI  KWA MATIBABU  KUTOKANA  KUUMIA SANA NA WAPIGA PICHA  DEUS KAMBONDE, JUSTINE BAYO NA  NTWA KABOLE.
TUTAENDELEA KUWAPASHA HABARI KADRI TUTAKAPO ZIPATA
Endelea Kusoma >>

wapinzani wasusia na kuigomea bjeti ya wizara ya nishati na madini kutoka nje ya bunge

0 comments
  1. wabunge wa upinzani katika bunge linaloendelea mjini dodoma wakitokanje ya ukumbi wa bunge kwa madai ya kutoshiriki katika upitishaji wa bajeti ya wizara ya nishati na madinikwa madai ya kwamba bajeti hiyo imejaa mambo ambayo si ya kweli huku wakidai tafrani hiyo ilitokea baada ya kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni freeman mbowe kupewa nafasi ya kuchangia bajeti hiyo ya wizara ya nishati na madini baada yakutoelewana wakati akichangia huku zikijichomoza sauti za makelele huku wakidai na kusema waongo na kama hamtaki tokeni kionozi wa upinzani kutoakauli yake kwamba hatuko tayari kukubali kupitishwa bajeti hiyo tutatoka nje na kuzomeana hao








Endelea Kusoma >>

Friday, May 30, 2014

0 comments
atibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akirejesha fomu ya kugombea tena Katibu Mkuu wa Chama hicho kwa katibu wa (CUF) Wilaya ya Magharibi Bw. Juma Rajab, katika ofisi za CUF Wilaya ya Magharibi, Kilimahewa Unguja.

Mwenyekiti wa CUF Wilaya ya Magharibi Unguja akizungumza wakati Maalim Seif akirejesha fomu ya Kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, akizungumza na wafuasi wa CUF waliojitokeza wakati akirejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu, katika ofisi za CUF Wilaya ya Magharibi, Kilimahewa Unguja.

Wafuasi wa CUF wakimsikiliza Maalim Seif baada ya kurejesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi za CUF Wilaya ya Magharibi, Kilimahewa Unguja. (Picha na Salmin Said, OMKR) 

Endelea Kusoma >>

Tuesday, May 27, 2014

WABUNGE WATUPIANO MIPASHO NA KUTAKA KUCHAPA NJE YA UKUMBI WA BUNGE

0 comments
waziri wa mambo ya nje benard membe akiwa na wabunge wa chadema mchungaji  msigwa na ezekiel wenje nje ya ukumbi wa bunge mjini dodoma kuhudhuria kikao cha bunge la bajeti

wasanii wa bongomovi wakiwa katika ukumbi wa bunge mjini kuhudhuria shughuli zauendeshaji

naibu wazir wa Elimu na ufundistad wa pili kushoto jenista muhagama akiwa na wabunge wa chadema kwenye ukumbi wa bunge leo

Baadhi ya wabunge  wakitoka katika ukumbi wa bunge walipokuwa wanahudhuriakikao cha bunge leo

waziri wa sera na uratibu washughuli za bunge ofisi ya waziri mkuu WILLIAM  lUKUVI akiwa na kiongozi wa kambi ya upinzani bungeni Freeman Mbowe wakibadilishana mawazo nje ya ukumbi wa bunge mjini dodoma

mbunge wa morogoro kusin inocent  akiwazuia wabunge wa cuf mohamed sanya na mbunge hamisi kombo wakitaka kumporomoshea kisago mbunge wa nkasi Ali Kessy mara baada ya kutokea kuchafuka kwa hali ya hewa ndani ya wakati wa uchangiaji wa bajeti ya Wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wakati wa uchangiaji wa hutuba hiyo leo asbuhi

mbunge wa nkasi Ali  kessy  akiondoka huku mbunge wa cuf Hamis  kombo akifuata kwa nyuma tayari kwa kupambana naye

mbunge Ali kessy akikataa kupigwa picha wakati wakati huku wabunge wa cuf wakifuata nyuma na kumuoinyesha vidole kwa kutaka asimame ili wapambanekutokana na baada ya mbunge wa nkasi Ali kessy kutoa maneno ya kashfa kwa wabunge wa zanzibar wakati wa uchangiaji wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wakati wa maneno hayo pamoja na madai zanzibar ni nchi ndogo sawa na jimbo lake la nkasi ---------

mbunge wa chadema paulina Gikulu akichangia bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa

mbunge Ali kessy akikataa kupigwa picha wakati wakati huku wabunge wa cuf wakifuata nyuma na kumuoinyesha vidole kwa kutaka asimame ili wapambanekutokana na baada ya mbunge wa nkasi Ali kessy kutoa maneno ya kashfa kwa wabunge wa zanzibar wakati wa uchangiaji wa bajeti ya wizara ya mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa wakati wa maneno hayo pamoja na madai zanzibar ni nchi ndogo sawa na jimbo lake la nkasi 

waziri wa mambo ya nje Benard Membe akimsikiliza balozi wa kongo Juma Mpango nje ya ukumbi wa bunge

wabunge wa chadema pamoja na waziri wa mambo ya nje na ushhirikiano wa kimataifa BenardMembe wakimsikiliza Add balozi wa kongohapa nchini Juma Mpango nje ya viwanja vya bunge

wabunge wa chadema pamajo na balozi wa kongo hapa nchini Juma mpango wakimsikiliza waziri wa mabo ya nje na ushirikiano wa kimataifa Benard Membenje ya ukumbi wa bunge mjini dodoma leo
Endelea Kusoma >>

Sunday, May 25, 2014

FOMKATIBU MKUU WA CUF ACHUKUAKUGOMBEA TENA NAFASI YAKE

0 comments
Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akichukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar. Anayemkabidhi ni Kaimu Katibu wa CUF Wilaya ya Magharibi Ussi Juma Hassan.

Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akionyesha fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar.

. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na wanachama waliojitokeza kumsindikiza wakati wa kuchukua fomu hiyo. katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar.


4. Katibu Mkuu wa CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad akizungumza na waandashi wa habari katika ofisi kuu za CUF Wilaya ya Magharibi Kilimahewa Zanzibar, baada ya kuchukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho (Picha na Salmin Said, OMKR)





ZANZIBAR                        .
Katibu Mkuu wa Chama Cha Wananchi CUF Mhe. Maalim Seif Sharif Hamad, leo amechukua fomu ya kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu wa Chama hicho.
Maalim Seif amechukua fomu hiyo katika Ofisi za CUF zilizopo Kilimahewa Wilaya ya Magharibi Unguja, na kusindikizwa na viongozi na wanachama kadhaa wakati akichukua fomu hiyo.
Akizungumza na waandishi wa habari baada ya kuchukua fomu hiyo Mhe. Maalim Seif ambaye pia ni Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar amesema ameamua kuchukua fomu hiyo ili aendelee kuwatumikia wanachama na kufikia malengo ya chama waliyojiwekea.
Amefahamisha kuwa pia ameshawishika kuchukua fomu hiyo baada ya kujitokeza kauli za kutaka kuzorotesha serikali ya umoja wa kitaifa.
Amesema akiwa kiongozi wa Chama ataendelea kuwatumikia wanachama na wananchi hadi pale chama kitakapotimiza malengo yake.
Maalim Seif amesema kwa kipindi kirefu alikua hajaamua iwapo agombee tena nafasi hiyo, na ndio maana hapo awali aliwahi kuchukua fomu ya kugombea nafasi ya mjumbe wa Mkutano Mkuu Taifa nafasi ambayo tayari ameondoa jina lake kufuatia uamuzi wake wa kugombea tena nafasi ya Katibu Mkuu.
Chama hicho tayari kimekamilisha uchaguzi wa chama ngazi za Matawi na Majimbo, na hatua inayofuata ni uchaguzi ngazi ya Wilaya.
Akizungumzia kuhusu tetesi za kuzorota kwa serikali ya umoja wa kitaifa Mhe. Maalim Seif amesema serikali hiyo itaendelea kuwepo kwa vile imekuwepo kwa matakwa ya wananchi walio wengi, na kwamba hawako tayari kurudi walikotoka.
Ameongeza kuwa katika kipindi cha uongozi wake akiwa Katibu Mkuu wa Chama hicho kilikabiliwa na changamoto kadhaa zikiwemo za upungufu wa rasilimali, lakini akasema wamejitahidi kakabiliana nazo kuona kuwa haziathiri ustawi wa chama hicho.
Kuhusu tetesi za kuwepo mgogoro kati ya chama hicho na mbunge wa Jimbo la Wawi Mhe.Hamad Rashid, Maalim Seif amesema Hamad Rashid  hawamtambui kwa vile sio mwanachama wa chama hicho.
“Wala sisi hatusumbui kwa sababu sio manachama wetu, yeye ni mbunge wa mahakama na wala sio wa CUF”, alisisitiza Maalim Seif.
Pamoja na mambo mengine Mhe. Maalim Seif amesema CUF ni chama kinachofuata misingi ya kidemokrasia, hivyo mwanachama yeyote anayaona ana sifa kugombea nafasi yoyote ikiwemo ya Katibu Mkuu yuko huru kuchukua fomu na kugombea nafasi hiyo.
Maalim Seif anatarajiwa kurejesha fomu hiyo tarehe 30/05/2014, ambapo tarehe ya mwisho ya kurejesha fomu ni tarehe 10/06/2014.

Hassan Hamad (OMKR).
Endelea Kusoma >>
0 comments

*PAPA FRANCIS AOMBEA UKUTA WA BETHLEHEMU.


Papa Francis akiombea ukuta wa Bethlehemu
Papa Francis ameombea ukuta wa saruji ambao Israel inajenga kulitenga eneo la ukingo wa Magharibi huko Bethlehem.
Aliweka kichwa chake juu ya juu ya ukuta huo, ambapo kumechorwa maneno" ipe uhuru Palestina".
Pande zote mbili zimekubali mwaliko.Papa ametoa mwaliko kwa Wa-Israili na Wapalestina waende Vatikani, kuomba mzozo wao umalizike.

Hapo awali Kiongozi huyo wa kanisa katoliki duniani aliutaja mzozo kati ya Palestina na Israel kama usiokubalika huku akizitaka pande zote mbili kufanya maamuzi ya busara ili kuweka amani.
Akizungumza mjini Bethlehem ,papa Francis ametaka kubuniwa kwa taifa huru la Palestina pamoja na Israel.
Aidha alifanya maombi katika eneo ambalo Yesu anadaiwa kuzaliwa.
Akiwa katika ziara yake ya mji wa Bethlehem ,kiongozi huyo wa dini alisimama katika eneo ambalo Israel inajenga ukuta mkubwa pamoja na eneo la West bank ili kufanya maombi.
Maandishi yaliokuwa juu yake alipokuwa akiomba yalisema 'papa tunamtaka mtu atakayezungumzia kuhusu haki'
Endelea Kusoma >>

MKUTANO W A TATU WA MWAKA WA KITAIFAMASHAURIANO KATI YA MCT NA WAHARIRI

0 comments


 

TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Mkutano wa Tatu wa Mwaka wa Kitaifa wa Mashauriano Kati ya MCT na Wahariri kufanyika Kilimanjaro
Baraza la Habari Tanzania (MCT) litafanya mkutano wake wa tatu wa mwaka wa Mashauriano na Wahariri huko Machame, mkoani Kilimanjaro kuanzia Mei 29 hadi 30 mwaka huu. Mkutano huo utafunguliwa rasmi na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro, Mheshimiwa Leonidas Gama.

Katibu Mtendaji wa MCT, Kajubi Mukajanga amesema huu utakuwa ni mkutano wa tatu wa aina hii kufanyika hapa nchini, ambapo wahariri wapatao 52 kutoka nchini kote watahudhuria.

Alisema mkutano huo umeandaliwa mahususi kuliwezesha Baraza na Wahariri ambao ni watendaji muhimu katika vyombo vya habari, kukutana na kujadiliana masuala muhimu yanayohusiana na taaluma na changamoto ambazo vyombo vya habari vinakutana nazo, na hivyo kutafuta njia ya kuzipatia ufumbuzi.

Kauli mbiu ya mwaka huu inasema: “Kuimarisha Weledi na Maadili ya Uandishi wa Habari.” Katika mkutano huo, Baraza la Habari na Wahariri wataweza kutathimini na kuangalia changamoto ambazo zilijitokeza toka mkutano wa pili ulipofanyika.

Mada mbali mbali zinazotarajiwa kujadiliwa katika mkutano huo ni pamoja na Ripoti ya Ufuatiliaji wa Vyombo vya Habari ya mwaka 2013, changamoto ambazo wahariri wanakutana nazo kwenye vyumba vya habari na Rasimu ya pili ya Katiba mpya, Ibara ya 30 na 31.

Wahariri hao pia watajadiliana juu ya masuala mengine muhimu ikiwemo jukumu la vyombo vya habari katika uchaguzi mkuu ujao na changamoto zake, ripoti ya majaji wa EJAT 2013, pamoja na ushirikiano kati ya vyombo vya habari na serikali.

Mkutano wa pili wa mashauriano kati ya MCT na Wahariri ulifanyika mwaka jana mwezi Mei mjini Tanga na kuhudhuriwa na wahariri 45.


Kajubi D. Mukajanga
Katibu Mtendaji
Mei 23, 2014
Endelea Kusoma >>
0 comments
Familia ya bwana Sijaona Simon wa Dar es Salaam, inasikitika kutangaza kifo cha baba yao mzazi ndugu Simon Malosha kilichotokea siku ya alhamisi tarehe 22/5/2014 saa nane mchana katika hospitali ya TMJ. 
Mazishi yatafanyika jumapili tarehe 25/5/2014 saa tisa mchana katika Makaburi ya Kinondoni, Dar es Salaam. Misa ya kumuaga marehemu na kutoa heshima za mwisho, itafanyika kwa Marehemu Sijaona magorofa ya Urafiki block QA.
Taarifa ziwafikie kaka yake mkubwa William Lukuba wa Nyakato Mwanza, Dada yake mkubwa wa Mwanza, waumini wote wa Kanisa la Mlima wa Moto Dar es Salaam ndugu, jamaa na marafiki wote wanao husika na msiba huo.

Endelea Kusoma >>

Thursday, May 22, 2014

AJIFUNGUA WATOTO WANNE AOMBA MSAADA

0 comments
RIZIKI DAUD AKIWA KATIKA HOSPITALI YA MUHIMBILI WADI YA WAZAZI

Mkaazi wa kunduchi Beachi  katika manispaa ya kinondoni  jijini Dar es salaa Riziki Daudi amejifungua watoto  alipojifungua kwa njia ya upasuaji wiki iliyopita katika hospitali ya Taifa muhimbili  kutopkana kuwa maisha magumu anaomba wasamaria wema kumsaidia kwa hali  na mali kutoka hali yake hususani nguo za watoto apamoja na misaada mingine  watoto hao wanatunzwa katika chumba maalum katika jengo la wazazi alikuwa anaomba kwa wale watakao gusa na tatizo hilo kuwasiliana na namba za simu 0783717648 ya Hadija Abeid na 0717 365040 ya Thuwaiba mohamed au 088711458 Daudi Haji  wadau naomba tumsaidie kwa kusambaza vyombo vyenu  MZUKA WA FUNGO BLOG

Endelea Kusoma >>

Wednesday, May 21, 2014

MAONYESHO YA UTAMADUNI NA WAJASILIA MALI YALIVYOFANA LEO

0 comments
KIKUNDI CHA UTAMADUNI CHA SELO KUTOKA HANDENI WAKIONYESHA UMAHILI  WAO








HATA MIMI NAWEZA KUCHEZA NGOMA HIYO MIMI NDIO WAZIRI WAKO WA UTAMADUNIHUKU AKIWA NA FEDHA ZA KWENDA KUTUNZA

WAZIRI WA HABARI UTAMADUNI NA MICHEZO FENELA MKANGARA AKIONYESHA UMAHILI WAKE WA KUCHEZA NA MTOTO NYAMBUCHA MGANGA NGOMA YA UTAMADUNI KUTOKA UKEREWE WAKATI WA UFUNGUZI

MWANASAA NYAMBUCHA MGANGA AKIONYESHA UMAHILI AWAKE WA KUCHEZA NGOMA YA UTAMADUNI KUTOKA MWANZA UKEREWE

WATOTO NYAMBUCHI MAGANGA NA GASBETI BWELE WAKIMSHIKILIA MKIA KIONGOZI WA NGOMA YA UTAMADUNI INAYOJULIKANA  KAMA UTANDAWAZI THEATH GROIP MATWIGACHARO KUTOKA MWANZA UKEREWE NANSOLE JOHN ANDREW AKA PEMBE WAKATI WA SHEREHE YA UFUNGUZI WA MAONYESHO YA WAJASILIAMALI NA UTAMADUNI YALIYOFANYIKA VIWANJA VYA MNAZIMMOJA LEO

Endelea Kusoma >>

WALEMAVU WALIVYOFUNGA MTAA WA UHURU NA KAWAWA

0 comments



















WAFANYABIASHARA WADOGOWADOGO MAARUFU KAMA WAMACHINGA AMBAO WALE ULEMAVU WAKIWA KATIKA BARABARA NA KULALA CHINI NA W ENGINE KUTEMBEA KWA MARINGO  MADAI YA WALEMAVU HAO NI KUDAI SERIKALI NA HALMASHAURI YA JIJI WALIFANYA OPERESHENI KUSAFISHA JIJI KUVUNJA VIBANDA VYA BIASHARA BILA KUANGALIA WATU WENYE ULEMAVU MADAI HAYO YA;IYOLUWA WANAOMBA KWA KUPITIA MKUU WA MKOA WA ADAR ES SALAAM LAKINI BILA MAJIBU  NDIPO WALIPOCHUKUA SHERIA MKONONI YA KUZUAI BARABARA NA KUSABABISHA USUMBUFU NA MAGARI KUTOPITA KWA MUDA WA MASAA MANNE

Endelea Kusoma >>
 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu