Saturday, January 21, 2012

Kocha mchezo wa ngumi wa Timu ya Ashanti pamoja na Timu ya Mkoa wa Kimichezo Ilala. Rajabu Mhamila'Super D' (kushoto) akitupiana makonde na kocha wa Mkoa wa Pwani, Gaudence Uyaga wakati wa mazoezi kwa vitendo kwa makocha hawo ambao wapo katika kozi ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi Duniani.

0 comments

Endelea Kusoma >>

Watoto hawa Moshi Salehe (kushoto) na Abbas wa kijiji cha maruwi mipera Wilayani Kisarawe Pwani wamekutwa na mpiga picha wakichungulia kiota cha ndege baada ya kuanguka kutoka kwenye mnazi wakidhani kuwa na makinda ya ndege

0 comments

Endelea Kusoma >>

wapiga picha wa vyombo mbalimbali vya habari wakiwa katika sehemu ya kazi wakisubiri tukio lianze

0 comments

Endelea Kusoma >>

Bi Kurwa Amir miaka 40 akiwa na mtoto wake aliejifungua siku ya jumanne katika Hospitali ya Amana baada ya kupatwa na uchungu akiwa katika geti la shule ya sekondari ya Benjamini mkapa ambaye ni mmoja kati ya wapangaji walioathirika na mafuriko kwa hivi sasa makazi yao makuu ni nje ya geti hilo picha akiwa pembeni mwa frem ya duka

0 comments

Endelea Kusoma >>

Friday, January 20, 2012

Bi Kurwa Amir miaka 40 akiwa na mtoto wake aliejifungua siku ya jumanne katika Hospitali ya Amana baada ya kupatwa na uchungu akiwa katika geti la shule ya sekondari ya Benjamini mkapa ambaye ni mmoja kati ya wapangaji walioathirika na mafuriko kwa hivi sasa makazi yao makuu ni nje ya geti hilo picha akiwa pembeni mwa frem ya duka kurwa anasema baba wa mtoto yuko kwao musoma alisafiri kabla ya mafuriko mpaka hivi sasa hajapata taarifa yeyote wala kuulizia kurwa hajapenda kutaja jina la baba wa mtoto

Thursday, January 19, 2012

Baadhi ya Makochai wa Mchezo wa Ngumi nchini wakifanya mazoez oezi kwa vitendo wakati wa kozi ya kimataifa ya mchezo huo kwa makocha inayoendelea Kibaha Mkoa wa Pwani

0 comments
Baadhi ya Makochai  wa Mchezo wa Ngumi nchini wakifanya mazoez
oezi kwa vitendo wakati wa kozi ya kimataifa ya mchezo huo kwa makocha inayoendelea Kibaha Mkoa wa Pwani
Endelea Kusoma >>

Tuesday, January 17, 2012

watoto Misikia mohamedi kushoto) Akramu Juma na Zuwena juma

0 comments

Endelea Kusoma >>

Mchezaji wa timu ya Taifa na Club ya Vijana -City Bulls Alphaeus David Kisusi akiwa katika uwanja wa ndege akielekea nchini Canada katika chuo kikuu cha Newfound Memorial kwa amasomo kwa muda wa miaka 3 baada ya kupata scholaship aliyoipata katika chuo hicho kutokana na kufanya vizuri katika mafunzo yaliyotolewa hivi karibuni

0 comments
Makamu wa Rais wa TBF  Phares Magesa (kulia) akimkabidhi Bendera  mchezaji wa mpira wa kikapu wa timu ya Taifa na Club ya Vijana City Bulls Alphaeus David Kisusi ambaye anakwenda nchini Canada kwa ajili ya masomo katika chuo kikuu New Found Memorial kufuatia Scholaship aliyoipata katika mafunzo yaliyotilewa na chuo hicho (kusshoto)Mwalimu Bahati Mgumba picha akiwa katika uwanja wa Ndege wa Mwalimu Nyerere

Endelea Kusoma >>

Friday, January 13, 2012

wachezaji wa timu ya Azam wakishangilia picha ya pamoja na kombe ;ao baada ya kuifunga timu ya jamhuri ya pemba katika mashindano ya kombe la mapinduzi kutimiza miaka48

0 comments
wachezaji wa timu ya azama wakishangilia bao lililofungwa na ngasa katika fainali ya kombe la mapinduzi na kuibuka na ushindi wa bao 3-1 dhidi ya mjamhuri ya pemba
Endelea Kusoma >>

mashabiki wajahazi Morden taarabu wakicheza

0 comments
mashabiki wa kitambaa cheupe
Endelea Kusoma >>

wanenguaji wa bendi ya mashujaa wakiwa kazini

0 comments
wanenguaji wa bendi ya mashujaa
Endelea Kusoma >>

Thursday, January 12, 2012

MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu