Friday, November 30, 2012

0 comments

ZANZIBAR YAIKALISHA RWANDA NAMBOOLE

Khamis Mcha ‘Vialli’ akiruka kushangilia baada ya kufunga bao la kwanza. Kushoto ni Jaku Juma.
Endelea Kusoma >>

Wednesday, November 28, 2012

0 comments

MALORI YAGONGANA ENEO LA KIBAHA...?

Mr abdull at Mr abdull - 11 minutes ago
Gari la mizigo aina ya Nissan lenye namba za usajili T 761 BRN likiwa limegongana uso kwa uso na gari la kubeba mchanga aina ya Fuso lenye namba za usajili T 390 CBM (lililopo kwenye mtaro) katika barabara ya Morogoro karibu na kituo cha Mabasi cha Kibaha Mjini mkoani Pwani leo asubuhi jumatano Nov 28, 2012. Katika ajali hiyo hakuna abiria aliyefariki wala majeruhi.
Endelea Kusoma >>
0 comments

Wednesday, November 28, 2012

PICHA KIBAO ZA MAZISHI YA SHAROMILIONEA LEO MCHANA

Twende huku mzee...! Msanii wa vichekesho ambaye ni mshirika wa karibu wa marehemu Sharomilionea, King Majuto (kushoto) akiongozwa na muigizaji JB wakati wa shughuli za mazishi ya Sharomilionea leo mchana kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga.

Jeneza la marehemu Sharomilionea kabla ya kupelekwa makaburini na mwili wa marehemu kuzikwa kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
 
Waombolezaji wakiwa katika ibada ya sala ya jeneza la marehemu Sharomilionea katika kijiji chao cha Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
 
Mwili wa marehemu Sharomilionea ukiswaliwa kabla ya kuzikwa leo mchana (Novemba 28, 2012) kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga.
Baadhi ya waombol;ezaji waliojitokeza kumzika Sharo Milionea kijijini kwao Lusanga, Muheza mkoani Tanga leo Novemba 28, 2012.
 
Baadhi ya waombolezaji wakiwa kwenye mazishi ya Sharomilionea leo Novemba 28, 2012. (Picha: Kwa Hisani ya jiachie.blogspot.com)
Endelea Kusoma >>

Breking newzzzz Mke wa mbunge wa Wawi Hamad Rashid amefariki dunia

0 comments
-raha za pwani 8 hours ago
Taarifa zilizoifikia blog hii usiku huuzinaeleza kuwa Mke wa Mbunge wa Wawi Hamad Rashid Mohamed pichani, Bi Kissa, amefariki dunia usiku huu kwenye hospitali ya Taifa Muhimbili jijini Dar es Salaam alikokuwa amelazwa. Taarifa zaidi tutaendelea kuwaletea kwa kadri zitakavyo tufikia.
Endelea Kusoma >>

Tuesday, November 27, 2012

AJALI YA MSANII SHAROMILLIONEA ENEO LA MUHEZA MKOANI TANGA

0 comments
043.JPG
 Gari la msanii muigizaji SharoMillionea alilopata nalo ajali katika eneo la kijiji cha Songa Kibaoni akiwa anaelekea kijijini kwake Lusango wilayani muheza jana gari hilo ainaHarriermwili wa marehe upo katika hospitali teuli ya muheza 
015.JPGgari la msaani lilivyopata ajali
021.JPG
024.JPG
031.JPG 
035.JPG baadhi ya watu waliofika katika eneo la ajali

 


050.JPGbaadhi ya watu waliofika katika hospitali hiyo




Endelea Kusoma >>

BREKINGNEWZZ MSANII SHARO MILLIONEA! AMFARIKI DUNI BAADA YA KUPATA AJALI

0 comments

Picha  mbili za marehemu Sharo Millionea kushoto ni baada ya ajali na kulia enzi za uhai wake mungu aiweke peponi roho ya marehemu aaaaaamin! Msanii wa vichekesho na Muziki wa kizazi kipya nchini Hussein Ramadhani Mkiete, almaarufu Sharo Millionea, ambaye alifariki jana usiku majira ya saa mbili anatarajiwa kuzikwa kwao Mkoani Tanga mara baada ya taratibu za mazishi kukamilika. Ajali hiyo mbaya ilitokea eneo la Maguzoni Tanga baada ya gari alilokuwa akiendesha T478 BVR Toyota Harrier akitokea Dar es salaam kwenda Muheza kuacha njia na kupinduka na alifariki dunia hapohapo ambapo pol... more »

R.I.P MSANII MCHEKESHAJI NCHINI SHARO MILIONEA AFARIKI DUNIA MKOANI TANGA AMBAKO NDIO NYUMBANI KWAO.


Msanii mchekeshaji wa hapa nchini picha almaarufu kwa jina la Sharo Milionea amefariki dunia huko Mkoani Tanga. Kamanda wa Polisi mkoani Tanga, Constatine Masawe amekiri kutokea kwa msiba wa Sharobaro, baada ya kupata ajali katika kijiji cha Lusanga, Muheza ambapo pia ndio nyumbani kwao.
Endelea Kusoma >>

Monday, November 26, 2012

RWANDA YAIFUNGA MALAWI BAO 2-0 LEO

0 comments
Nahodha wa Rwanda, Haruna Niyonzima (katikati) akidhibitiwa na wachezaji wa Malawi, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge 2012 uliofanyika kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda usiku huu. Rwanda ilishinda 2-0, mabao ya Jean Baptiste Mugiraneza dakika ya 37 na Haruna Niyonzima dakika ya 79
Endelea Kusoma >>

MBUE TWITE AFUNGIWA KUCHEZA MPIRA MAISHA NA SHIRIKISHO LA MPIRA RWANDA

0 comments

TIMU YA YANGA KUJIFUA NCHINI UTURUKI KUJIANDAA NA LIGI KUU RAUNDI YA PILI 

MWENYEKITI WA KAMATI YA MASHINDANO YA KLABU YA  YANGA AFRICAN  ABDALLAH BIN KLEB AKIONGEA NA WANDISHI WA HABARI KATIKA KLABU HIYO LEO KUHUSU MPANGO WA TIMU HIYO KUELEKEA  NCHINI UTURUKI KWA MUDA WA WIKI MBILI KUWEKA KAMBI KWA AJILI YA KUJIANDAA KWA LIGI KUU YA VODACOM KATIKA MZUNGUKO WA PILI  KULIA NI KOCHA MKUU WA KLABU HIYO ,ERNIE BRANDITS       

MCHEZAJI WA KLABU YA YANGA MBUE TWITE AMEFUNGIWA MAISHA NA SHIRIKISHO LA MPIRA NCHINI RWANDA KUTOKANA NA KUTOKWENDA KUSHIRIKI KATIKA MASHINDANO YA CHALLENGE TUSKER CUP INAYOENDELEA NCHINI UGANDA BAADA YA KUITWA NA NCHI HIYO
Endelea Kusoma >>
0 comments

ZANZIBAR YAANZA KWA SARE TASA TUSKER CHALLENGE 2012

Kiungo wa Zanzibar, Khamis Mcha ‘Vialli’, (kulia) akigombea mpira na beki wa Eritrea, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni hii. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana.picha zote kwa hisani ya BIN ZUBEIRY BLOGSPORT KUTOKA KAMPALA

Beki wa Zanzibar, Nassor Masoud ‘Chollo’, (kushoto) akitafuta mbinu za kumtoka beki wa Eritrea, katika mchezo wa Kundi C, Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole jioni hii. Timu hizo zilitoka sare ya bila kufungana   picha zote kwa hisani ya BIN ZUBEIRY BLOGSPORT KUTOKA KAMPALA   
Endelea Kusoma >>

Sunday, November 25, 2012

WACHEZAJI WA TIMU YA KILIMANJARO STARS WAKISHANGILIA BAO LA PILI

0 comments


Wachezaji wa Stars wakishangilia na Bocco baada ya kufunga bao la pili usiku huu

Na Mahmoud Zubeiry, Kampala
TIMU ya soka ya taifa ya Tanzania Bara, imeanza vema kampeni zake za kuwania Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Tusker Challenge, baada ya kuichapa mabao 2-0 Sudan katika mchezo uliomalizika usiku huu kwenye Uwanja wa Mandela, Namboole, Kampala, Uganda. 
Ushindi huo, unaiweza Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars katika nafasi ya pili kwenye msimamo wa Kundi B, nyuma ya Burundi inayoongoza kwa wastani wa mabao.
Hadi mapumziko, Stars walikuwa mbele kwa mabao 2-0, yote yakipachikwa kimiani na mshambuliaji wa Azam FC, John Raphael Bocco ‘Adebayor’ aliyetumia vema krosi za Mrisho Khalfan Ngassa.
Bocco alifunga bao la kwanza Bocco aliiwahi vema krosi ya Ngassa aliyewatoka mabeki wa Sudan wingi ya kushoto na kuitumbukiza kimiani dakika ya 14.
Adebayor wa Chamazi aliwainua tena vitini mashabiki wa Tanzania dakika ya 28, akiunganisha krosi ya Ngassa tena kutoka kule kule kushoto. 
Kwa ujumla Tanzania Bara walicheza vizuri kipindi cha kwanza, wakishambulia zaidi kupitia pembeni, kulia Simon Msuva ambaye hakuwa na madhara sana na kushoto Ngassa ambaye alikuwa mwiba mchungu haswa kwa Wasudan.
Pamoja na Bara kutawala kipindi cha kwanza, lakini Wasudan walifanya mashambulizi kadhaa ya kushitukiza na sifa zimuendee mlinda mlango Juma Kaseja, ambaye alioko amichomo miwili ya hatari mno. 
Kipindi cha pili Stars, inayofundishwa na Mdenmark Kim Poulsen iliendelea kutawala mchezo, lakini safu ya ulinzi ya Sudan iligangamala.
Tanzania Bara; Juma Kaseja, Erasto Nyoni, Amir Maftah, Shomari Kapombe, Kevin Yondan, Frank Domayo, Salum Abubakar/Amri Kiemba, John Bocco, Mwinyi Kazimoto na Simon Msuva/Shaaban Nditi.
Sudan; Ebd Elrahman Ali, Moawia El Amin, Sami Abdallah, Faris Abdallah, Hamoda Bashir/Farid Mohamed, Mohamed El Mortada, Sadam Abutalib, Mohamed Mussa Idris, Modathir Mohamed, Adam Sayer/Osama El Rashid na Mohamed Osman/Saed Siddig.   
Katika mchezo wa awali, Burundi walishinda mabao 5-1, mabao yake yakifungwa na Chris Nduwarugira dakika ya 35 na 88, Yussuf Ndikumana dakika ya 41 na Suleiman Ndikumana dakika ya 84 na 90, wakati la Somalia lilifungwa na Mohamed Jabril kwa penalti dakika ya 55.
Matokeo hayo yanalifanya Kundi B lizidi kuwa gumu, kwani Burundi inaongoza kwa pointi zake tatu na mabao mengi, Tanzania ya pili kwa pointi tatu na mabao mawili- lakini bado Sudan wanaweza kupata matokeo mazuri katika mechi zijazo kwa hisani  ya www,BIN ZUBEIRY
Endelea Kusoma >>
 
MZUKA BLOG © Copyright 2014. All Rights Reserved.

Powered by MATERU FROM IBS.
imagem-logoRudi Juu